JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mpango mgeni maalum mkutano 52 wa Jumuiya ya Waislam Waahamadiyya Tanzania Oktoba Mosi

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amealikwa kuwa mgeni maalum kwenye mkutano wa 52 Jumuiya ya Waislam Waahamadiyya utakaofanyika tarehe 29 Septemba mpaka Oktoba Mosi, mwaka huu katika .kijiji cha Kitonga Msongola jijini Dar es Salaam….

Majaliwa: Viongozi wa dini tushirikiane kupiga vita dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu ya mbalimbali ya dini nchini waendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya . “Tushirikiane kupambana na biashara na matumizi ya dawa…

TARURA kuunganisha Mkoa wa Iringa na Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kazi ya kuunganisha mkoa wa Morogoro na Iringa kupitia Wilaya ya Kilolo baada ya kufungua Barabara ya Mhanga–Mgeta yenye urefu wa kilomita 17.5 ili kuwezesha wananchi…

DC Nzega: Sitamvumilia atakaye hujumu mradi wa usambazaji vyandarua vya Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MKUU wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai, amesema atakula sahani moja na anayehujumu vyandarua vya serikali. Amesema iwapo atabaini yupo anauza au kufugia kuku kwa kisingizia kuwa vinapunguza nguvu za kiume hatamvumilia. Akizungumza jana mkoani Tabora,…

Serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali mambo mazuri

Na WMJJWM, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ‘NGOs’ ili kutekeleza majukumu yake na mchango wake kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy…

Waitaka Serikali kurejea makubaliano ya hatimiliki ya somo la dini ya kiislamu

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Jumuiya na Taasisi za Kislaam Tanzania Islamic Education Panel, imetaka Serikali kuepuka hujuma na uvunjifu wa katiba unaofanywa na baadhi ya watendaji wake wachache katika suala la mitaala. Akizungumza na wanahabari Amir Jumuiya na Taasisi za…