Author: Jamhuri
Mashirika waadhimisha Siku ya Bahari Duniani Dar
NA Andrew Chale, JamhuriMedia Shirika lisilo la Kiserikali la Utamaduni na Maendeleo Afrika Mashariki [Culture and Development East Afrika] –CDEA kwa kushirikiana na mashirika mengine ya FIDEC na EMEDO wamefanya maadhimisho ya siku ya bahari duniani leo Juni 8,2023, iliyokuwa…
Kibajaji amjia juu Mbowe
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusende amemjia juu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Freeman Mbowe kwa kitendo cha kudai Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa…
TANAPA yazitendea haki fedha za Samia
Arusha Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media Arusha Fedha zilizotolewa na serikali kupambana na athari zilizoletwa na ugonjwa wa virusi vya korona (Uviko – 19) nchini kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), zimesababisha ongezeko la idadi ya watalii. Mwaka jana,…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi kongamano la viongozi wa dini
Na Mussa Augustine. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la aKitaifa la kuwajengea uelewa viongozi wa dini mbalimbali kuhusu athari zitokananzo na sauti zilizozidi Viwango katika Nyumba…
Yanga wamuuza Fei Toto Azam Fc
Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Young Africans Sports Club umesema kuwa umemuuza Mchezaji Feisal Salum “Fei Toto” kwa Kilabu ya Azam FC kwa dau ambalo halitawekwa wazi. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma Leo Juni 8, 2023, kilabu hiyo…
Tanzania, Uingereza kuimarisha usawa wa kijinsia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imekubaliana na Kamisheni ya Uingereza kushirikiana ili kuimarisha usawa wa kijinsia nchini. Hayo yamebainika wakati wa kikao cha Wizara na Kamisheni hiyo kilichofanyika…