Author: Jamhuri
Vifaa vya kujipima UKIMWI milioni 1.6 vimesambazwa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Afya kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI hadi sasa imeweza kusambaza vifaa vya mtu kujipima mwenyewe maambukizi ya Virusi vya UKIMWI zaidi ya Mil. 1.6 kuanzia Mwaka 2021 nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na…
Ushirikiano Tanzania, Marekani kuimarisha sekta ya madini
#Marekani kuipa kipaumbele sekta ya madini nchini Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Marekani nchini katika ziara iliyolenga kuzungumzia masuala mbalimbali katika shughuli za uchimbaji na maendeleo ya Sekta ya Madini,…
Utafiti wa maharage waipa taasisi ya Kenya ushindi, tuzo ya chakula
Na Alex Kazenga, JAMHURIMEDIA Dar es Salaam Utafiti wa mbegu za maharage yaliyoboreshwa umeipa ushindi taasisi ya Kenya katika Tuzo ya Chakula Afrika (Africa Food Prize-2023) inayotolewa kila mwaka. Mwenyekiti wa kamati ya AFP, Dk. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa…
Tanzania yapania kilimo kuchangia pakubwa, pato la taifa ifikapo 2030
Na Alex Kazenga Jamhuri Media, Dar es SalaamIfikapo 2030 serikali imepania asilimia 10 ya pato la taifa itokane na uzalishaji unaofanyika kwenye kilimo. Rais Samia Suluhu Hassan, amebainisha nia hiyo leo Septemba 07, 2023 wakati akiwahutubia vijana waliohudhuria moja ya…
Katibu Mkuu kiongozi atembelea mradi wa JNHPP, asema Watanzania wanahitaji umeme
Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Pwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema kuwa watanzania wanahitaji kupata huduma ya umeme wa uhakika na kwamba ameridhishwa na kazi kubwa ya utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Balozi…
Tanzania, Norwaya zasaini makubaliano kukabili mabadiliko Tabiachi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania imenufaika na shilingi bilioni 7.3 kutoka Serikali ya Norway kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na inayotekelezwa nchini. Hayo yamejiri baada ya Serikali hizo mbili…