JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yanga SC yaichakaza JKT Tanzania 5-0

Klabu ya Yanga imeendelea kutoa dozi nzito kwenye ligi kuu Tanzania bara maarufu NBCPL mara baada ya kufanikiwa kuizamisha mabao 5-0 timu ya JKT Tanzania mchezo uliopigwa kwenye dimba la Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam. Yanga SC walienda mapumziko…

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi, inayojengwa na Benki ya NMB, ikitarajia kugharimu Sh….

REA yawaneemesha wananchi kwa kukamilisha kituo cha kupoza umeme Ifakara

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme kilichopo Ifakara (Ifakara Substation) na kuleta neema ya umeme wa uhakika kwa wananchi wa wilaya za Kilombero na Ulanga mkoani Morogoro, ambao walikuwa na…

Kundo afungua mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala la PAPU

Na Faraja Mpina, JamhuriMedia,Arusha NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew, amefungua Mkutano wa 41 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaofanyika kwa siku mbili, jijini Arusha. Mkutano huo umeanza Agosti…