JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TMA yatoa taarifa mwelekeo msimu wa kipupwe, joto kiasi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya msimu wa kipupwe katika kipindi cha Juni hadi Agosti (JJA) 2023 ambapo kinatarajiwa kuwa na hali ya joto kiasi hadi baridi ya wastani katika maeneo mengi ya nchi. Taarifa hiyo…

Madaktari wafutiwa leseni kwa kusababisha vifo vya mama na mtoto Z’bar

Wizara ya Afya Zanzibar imewafutia leseni madaktari waliosababisha vifo vya mama na mtoto kutokana na uzembe walioufanya katika wodi ya wazazi Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Mei 15, mwaka huu. Akitoa taarifa kuhusiana na hatua zilizochukuliwa dhidi ya madaktari hao kwa…

Miradi yote ikamilike kabla ya mwisho wa mwaka wa fedha

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka  Wakurugenzi naWakuu wa Wilaya za Dodoma kukamilisha miradi yote kwa wakati  kabla ya kukamilika mwaka wa fedha wa 2022/2023 ambao utafikia tamati ifikapo Juni 30, 2023. Senyamule ametoa maagizo hayo leo Mei…

Idara za TAMISEMI, elimu, afya na sekta binafsi vinara malalamiko ya rushwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU)Mkoa wa Dodoma katika utekelezaji wa majukumu yake imepokea jumla ya malalamiko 138 ambapo kati yake, malalamiko 81 yalihusu rushwa na mengine 7 taarifa zake kuhamishiwa Idara…

Benki ya Maendeleo TIB yaunga mkono juhudi za uzalishaji umeme

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Benki ya Maendeleo ya TIB imeunga mkono juhudi za uzalishaji wa nishati nchini kwa kutoa mkopo wa kiasi cha Dola za Kimarekani 400,000 kwa kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) Investment Ltd inayotekeleza ujenzi wa Mradi wa…