Author: Jamhuri
Mikopo ya zaidi ya bilioni 27/- yatolewa kwa wanachama wa TANESCO SACCOS
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MIKOPO ya zaidi ya shilingi bilioni 27.2 zimetolewa kwa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO SACCOS) ikiwa ni sehemu ya mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake. Akizungumza…
Dk Samia kuja na mkakati wa taifa kujitosheleza na ngano, barabara
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuja na mkakati wa kuliwezesha taifa kujitosheleza kwa ngano ikiwemo serikali kuyatwaa mashamba yaliyochukuliwa na wawekezaji bila kuyaendeleza. Pia, amewatoa hofu wakulima wa mbaazi nchini kuhusu soko…
JWTZ lakaa pembeni suala la uchochezi
Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ limesema kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao mbalimbali ya Kijamii kuweka maudhui na ujumbe mbalimbali wenye kuchochea kuliingiza Jeshi hilo katika masuala ya siasa. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na uhusiano kutoka…
Manispaa ya Mji Kibaha imetenga milioni 420 kufungua na kuboresha Baraza za mitaa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Manispaa ya Kibaha, mkoani Pwani imetenga sh. milioni 420 kutoka mapato yake ya ndani kwa ajili ya kufungua na kutengeneza barabara za mitaa katika kata 14 , ikiwa ni hatua ya kupunguza kero za miundombinu…
Uchapakazi wa Dk Samia umeleta imani kwa wapinzani, waikubali CCM
πππ©πππͺ ππ πͺπͺ πΏπ π©. πππππ§π€ ππ¬ππ₯π€π ππ πππ€π£ππ€π―π π¬π πΎππΌπΏπππΌ π£π πΌπΎπ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro amewapokea wanachama watatu (3) ambao mmoja ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wawili wa…
Samia: CCM imetumia fedha za ndani kwenye uchaguzi mkuu 2025
Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media- Manyara Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni zake mkoani Manyara, ambapo amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu unafanyika kwa fedha za ndani na siyo za wafadhili kutoka…