Author: Jamhuri
Masoko ya madini Katoro na Geita yachochea uchumi, yafungua fursa za ajira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Masoko ya Madini Katoro na Geita pamoja na vituo vya ununuzi wa madini vinaendelea kuwa chachu ya ukuaji wa uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Geita, baada ya kuongeza fursa za ajira, biashara na mzunguko…
TAMISA yawahamasisha vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa mbalimbali zinazopatikana katika kufanya biashara ya manunuzi na kutua huduma mbalimbali migodini yenye thamani ya takriban…
Serikali yatoa wito wadau sekta ya fedha kuwezesha ajenda ya nishati safi ya kupikia
Serikali imetoa wito kwa wadau kutoka sekta ya fedha nchini kuanzisha huduma na bidhaa za kifedha zitakazowezesha ajenda ya nishati safi ya kupikia kusambaa zaidi, hususan kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo katika maeneo ya pembezoni na vijijini pamoja na wabunifu wa…





