Author: Jamhuri
Wanakwaya saba wafariki, 75 wajeruhiwa katika ajali mbili tofauti Same
Na Ashrack Miraji, JamhiriMedia, Same Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la…
Watu zaidi ya 1,000 wafariki kwa tetemeko la ardhi Myanmar
MAMLAKA nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi ya watu 1,000 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 2,300 huku makumi ya wengine wakiwa hawajulikani walipo. Mamlaka nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi…
Wimbi jipya la mashambulizi ya Israel laua watu 921 Gaza
Wizara ya afya katika Ukanda wa Gaza inayodhibitiwa na kundi la Hamas imesema leo Jumamosi kwamba watu 921 wameuawa katika eneo la Palestina tangu Israel ilipoanzisha wimbi jipya la mashambulizi mnamo Machi 18 mwaka huu. Wizara ya afya katika Ukanda…
CCM yampa Peter Msigwa jukumu la kupigania ushindi Kanda ya Ziwa
Na Mwandishi Wetu Mchungaji Peter Msigwa, ambaye awali alihusishwa na tetesi za kurejea chama chake cha awali, Chadema, amepewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jukumu muhimu la kupigania ushindi wa chama hicho katika Kanda ya Nyasa. Akihutubia maelfu ya wanachama…
Waziri Mkuu akagua viwanja viakavyotumika CHAN Agosti 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda. Baada ya ukaguzi huo Mheshimiwa…