JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Samia: CCM imetumia fedha za ndani kwenye uchaguzi mkuu 2025

Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media- Manyara Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni zake mkoani Manyara, ambapo amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu unafanyika kwa fedha za ndani na siyo za wafadhili kutoka…

Kunenge – IPOSA ilete matokeo na kuacha alama Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameagiza Idara ya Elimu mkoani humo kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Elimu Changamani kwa Vijana walio nje ya Mfumo Rasmi wa Elimu (IPOSA), akisisitiza kuwa lazima mpango huo…

Sumaye: Samia ni mvumilivu, CCM haianguki

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Manyara Mratibu wa Kampeni Kanda ya Kaskazini na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mvumilivu mno. Sumaye ametoa kauli hiyo wakati akisalimia maelfu ya wananchi wa Manyara wakati wa…

Dk Samia apokelewa kwa shangwe Babati, wananchi wamuahidi kumpa kura

Tayari Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป amewasili na kupokelewa na Viongozi wa CCM na Jumuiya zake, Viongozi wa dini, Machifu, Wazee na…

Madaktari MOI, Muhimbili wapiga

kambi Comoro matibabu ya kibingwa โ€ฆ.Wamo pia wa JKCI, Ocean Road na Benjamin Mkapa Na Mwandishi Wetu HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Mifupa (MOI) ni miongoni mwa hospitali zilizopeleka mdaktari wake bingwa kwenye kambi ya wiki…

15 mbaroni kwa tuhuma za mauaji Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, Jamuhuri,Songea JESHI la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za mauaji ya Watu watano na wengine watatu kujeruhiwa katika tukio la mapigano ya wakulima na Jamii ya wafugaji. Watuhumiwa waliokamatwa majina yao yamehifadhiwa ambao wanaendelea…