Author: Jamhuri
Ndejembi :Mpango wa uunganishaji umeme kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi
📌Ashuhudia utiaji Saini na Uzinduzi wa mpango wa ufadhili uunganishaji umeme kwa wananchi kati ya TANESCO na CRDB 📌Asisitiza kufanyika tathmini juu ya namna mpango huo utakavyoleta matokeo Chanya kwa wananchi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
TUWASA yaboresha utoaji huduma kwa wateja
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA) imeanza kuboresha huduma za maji kwa wateja kwa kutekeleza mradi wa ufungaji mita za maji za malipo kabla ambapo kiasi cha shilingi milioni 192.5 kitatumika….
JET yaahidi kushiriki kikamilifu kutekeleza miradi ya maendeleo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimeahidi kuongeza ubunifu, kuimarisha ushirikiano na kutumia fursa za rasilimali za ndani katika kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Ahadi hiyo ya…
GGML inashiriki CSR kwa jamii nchini – Mworia
Na Mwandishi Wetu, JahuriMedia, Geita KAMPUNI ya uwekezaji ya Anglo Ashant Gold (GGML) imekuwa ikitumia mpango wa utoaji huduma kwa jamii (CSR) kupitia miradi mbalimbali ikiwemo sekta ya afya, elimu, kilimo na miundombinu kwa manufaa ya jamii. MKURUGENZI wa uendekezaji…
TPDC Yawawezesha wanafunzi kujifunza sekta ya gesi asilia kwa vitendo
Mtwara: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limewawezesha wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Lindi na Mtwara kutembelea miundombinu ya gesi asilia Mnazi Bay na Kiwanda cha Kuchakata Gesi Asilia Madimba mkoani Mtwara kwa lengo la kuwaongezea uelewa kuhusu sekta…
Homera ataka kasi na weledi katika utendajikazi
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amewataka viongozi na watumishi wa Wizara ya Nishati kuongeza kasi na weledi katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora kupitia sekta ya nishati. Dkt. Homera amesema hayo leo,…





