Author: Jamhuri
Silaa: Kuweni tayari kwa mabadiliko
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuwa tayari kwa mabadiliko yenye lengo la kuiboresha sekta ya ardhi. Silaa amesema hayo leo tarehe 21 Septemba…
Madiwani wajipongeza kuvuka malengo ukusanyaji mapato Tarime
Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya Tarime wamejipongeza kuvuka lengo ukusanyaji wa mapato ya ndani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika kikao cha baraza la Madiwani walisema wanatakiwa kujipongeza kwa kuvuka lengo kwa asilimia 116. Makisio ya ukusanyaji…
Tanzania yang’ara kwenye viwanda
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia amefungua kiwanda cha vifaa vya ujenzi (Sapphire Float Glass Tanzania), chenye thamani ya dola za Marekani milioni 311. Akizungumza wakati anafungua kiwanda hicho leo Mkuranga,…
Wananchi wahimizwa kuchangamkia fursa ya makaa ya mawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati…
Bashungwa: Rais Samia yupo ‘serious’ na ujenzi wa barabara nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini unafanyika kwa umakini na viwango vya ubora chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Bashungwa…
ACT Wazalendo yapinga matokeo ya ubunge jimbo la Mbarali
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakikubaliani na matokeo ya ubunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kutangazwa jana na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Missana Kwangura . Kauli hiyo ilitolewa na Katibu…





