Author: Jamhuri
Kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa
Na Bashir Yakub, JAMHURI MEDIA Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo hadi likukute ndipo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria si kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni…
Serikali kutoa kifuta jasho waliovamia shamba la Utegi Rorya
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Rorya Serikali itatoa fidia ya kifuta jasho cha maendelezo kwa wananchi watakaobainika kuvamia eneo la shamba la Utegi lililopo wilayani Rorya mkoani Mara baada ya kufanyiwa utambuzi. Eneo lililovamiwa lina ukubwa wa hekta 476.52 na kujumuisha vitongoji vya Kibinyongo, Mabatini,…
Mahakama Kanda ya Kigoma yajitathmini kiutendaji
Na Aidan Robert, JamhuriMedia, Kigoma Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma Mhe. Lameck Michael Mlacha ameongoza kikao cha Menejimenti katika Kanda hiyo kufanya tathmini ya utendaji kazi kwa robo mwaka ya Januari hadi Machi,2023 lengo likiwa…
Aua watu 8 kwa risasi Marekani, naye auawa
“Tulianza kukimbia, watoto walikuwa wakikanyagwa”. Anaeleza Maxwell Gum (16),mfanyakazi wa stendi karibu na eneo ambalo mauaji ya risasi ya watu nane katika jiji la Texas Marekani . Yeye na wengine walijihifadhi kwenye chumba cha kuhifadhia vitu. Mauaji haya yametekelezwa na…
Wananchi wajiandaa kuvamia eneo TFS
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Wananchi zaidi ya 2,000 wa Kijiji cha Nyeburu, Kata ya Chanika, wanajiandaa kuvamia upya eneo lililomegwa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) ili kuendeleza shughuli zao za kila siku, kwa madai serikali imeshindwa kutatua mgogoro…
REA yakutana na wadau wa maendeleo
Wakala wa Nishati Vijijini (REA),katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 umepanga kutumia sh bilioni 784 .84 kati ya hizo Sh bilioni 756.19 ni kwa ajili ya miradi ya umeme vijijini na Sh bilioni 28.65 ni kwa masuala ya uendeshaji…