Author: Jamhuri
Umoja wa Afrika waiondolea Guinea vikwazo
Umoja wa Afrika umetangaza kuiondolea Guinea vikwazo ilivyoiwekea kufuatia mapinduzi ya mwaka 2021, baada ya nchi hiyo kuandaa uchaguzi wa rais mwezi Desemba. Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema Guinea imepiga hatua katika utekelezaji wa mkakati…
Wabunge wapongeza NIRC kwa mageuzi ya kilimo cha umwagiliaji
📍 Bungeni Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, wameipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kwa juhudi kubwa zinazofanywa kuinua kilimo cha Umwagiliaji nchini kukuza uchumi…
PDPC yazipa miezi mitatu zaidi taasisi zote kujisajili
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitangazia taasisi zote za umma na serikali zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi kujisajili ndani ya miezi mitatu ili kutekeleza wa maagizo ya Serikali yaliyotolewa na Waziri…
Polisi Uganda yamkamata mbunge wa upinzani NUP
Polisi Uganda imesema imemkamata mbunge na afisa mwandamizi wa chama kikuu cha upinzani, National Unity Platform (NUP), kwa tuhuma za kuhusika katika vurugu za uchaguzi ambazo zilisababisha vifo vya takriban watu saba. Mbunge huyo, Muwanga Kivumbi, ambaye pia ni makamu…
Marekani inatarajiwa kujiondoa rasmi kutoka WHO
Marekani inatarajiwa kujiondoa rasmi hii leo kutoka Shirika la Afya Duniani WHO, hatua ambayo imeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa afya na jumuiya ya kimataifa. Hatua hiyo imekuja licha ya tahadhari kwamba kujiondoa kwa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa…





