JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Prof. Kabudi: Sh trilioni
360 haikuwa kodi halali

*Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia*Afafanua suala hilo limekwisha,atamtafuta Mwigulu amweleze Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mpatanishi Mkuu wa Serikali (Chief Government Negotiator), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema Dola bilioni 190 za Marekani sawa na Sh trilioni 360 walizotakiwa kulipa…

Dola Bilioni 19.2 kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

Serikali imesema takribani dola 19.2 za kimarekani zitatumika katika kutekeleza Mpango wa Taifa wa Kukabiliana na mabadiliko tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt.Selemani Saidi Jafo amesema hayo jana Oktoba 3,2022 katika kikao cha…

Mwanamke ahukumiwa kwenda jela maisha

Shani Suleiman (35),mkazi wa Morogoro Mjini amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 12. Hukumu hiyo imetolewa Septemba 28, 2022 katika Mahakaka ya Rufani Tanzania baada ya mahakama kuthibitisha bila mashaka licha ya mtumiwa kukata…

Tanzania yashinda dhidi ya Uzebekistan 2-0

Tanzania yashinda dhidi ya Uzbekistan kwa goli 2-0 kwenye mechi iliyochezwa leo Oktoba 3, 2022 nchini Uturuki. Kwa matokeo hayo Tanzania inasubiri mchezo kati ya Poland na Hispania utakaochezwa majira ya saa 12:00 jioni, huo ndio mchezo utakaoamua nani kati…

Kiria achaguliwa mwenyekiti CCM Simanjiro

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Simaniiro Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara, Kiria Ormemei Kurian Laizer amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Simaniiro. Msimamizi wa uchaguzi huo ambalo umefanyika jana Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sizaria Makota ametangaza…