JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TEF:Mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deodatus Balile, amesema mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari una matumaini chanya baada ya Serikali kuchukua hatua na kuhakikisha kukamilisha mchakato huo. Balile amesema kuwa kwa hatua hiyo wadau wa…

Ziwa Nyasa kutumika kama ziwa Victoria

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA nchini Mhandisi Clement Kivegalo amesema yeye ndiye aliyesimamia mradi mkubwa wa maji kuyatoa ziwa Viktoria na kuyapeleka kwenye mikoa yenye uhaba wa maji Amesema mradi kama huo unaweza kufanyika katika ziwa Nyasa na kupunguza…

Rais Samia awahimiza watunza kumbukumbu kuzingatia usiri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza watunza kumbukumbu kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sera, Sheria, Kanuni na Miongozo ya kiutendaji ndani na nje ya Serikali. Rais Samia ametoa agizo hilo leo wakati akifungua…

Mabula:Serikali inathamini mchango unaotolewa na taasisi za dini

Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa taasisi za dini katika shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo miradi mingi ya kijamii inayosimamiwa na mashirika ya kidini hususani sekta ya afya, elimu na  maji . Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba…

Simba yanyakua pointi tatu kwa Polisi

Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu ya Polisi Tanzania baada ya kuichapa mabao 3-1 kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye dimba la Ushirika mjini Moshi. Kwenye mechi hiyo tumeshuhudia mshambuliaji wao Moses Phiri akiweka kambani…

Ndejembi awakumbusha wanafunzi UDOM kuzingatia maadili

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Deogratius Ndejembi amewataka wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuishi kwa kuzingatia maadili ya kitanzania ili kutimiza malengo yao kitaaluma na kujenga taswira nzuri ya chuo…