JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TANESCO yaandika historia, yasaini mradi wa kuzalisha umeme jua wenye thamani ya Bilioni 274.76/-

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limeandika historia kwa kusaini mkataba wa kuzalisha umeme jua wenye thamani ya Bilioni 274.76 Kwa  kutumia teknolojia ya “Solar Photo Voltaic”Wenye uwezo wa kuzalisha megawatt 150 za umeme. Mkurugenzi Mtendaji…

Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria

Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ameapishwa leo kuwa kiongozi wa taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika linalokabiliwa na changamoto nyingi. Anaingia rasmi madarakani huku raia wakiwa na matumaini mapya ya maisha bora na masuala mengine…

Wabunge wafurahishwa utekelezwaji mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameusifu mradi wa bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwa kutoa fidia nzuri kwa waliopitiwa na mradi huo na kutoa kipaumbele katika maeneo mengine ikiwemo utunzaji wa mazingira….

Bashungwa awakabidhi majenerali wastaafu magari mapya

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amewakabidhi Magari Mapya, Jenerali George Marwa Waitara (Mstaafu) pamoja na Jenerali Robert Philemon Mboma (Mstaafu) tukio lililofanyika Ofisi za Wizara, Mtumba Jijini Dodoma. Akikabidhi Magari hayo, Mheshimiwa…