JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wampongeza Rais Samia kuifungua Kigoma katika sekta ya ujenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan Oktoba 16, 2022 akiwa Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma amefungua rasmi barabara ya Nyakanazi- Kabingo( km.50) ikiwa imejengwa kwa takriban shilingi bilioni 43 na ujenzi wake kusimamiwa na TANROADS. Akizungumza katika ufunguzi…

Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…

Yanga ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Bao lililoizamisha Yanga limefungwa na…

Nchemba aita wawekezaji kuwekeza nchini

Na Benny Mwaipaja,Washington DC Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa pamoja na wazawa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta mbalimbali. Dkt. Nchemba ametoa wito huo mjini Washington D.C, Marekani,…