Author: Jamhuri
Ridhiwani akabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa Kilosa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kilosa Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia mpango wa matumizi ya mashamba 11 aliyoyakabidhi mwishoni mwa wiki , wilayani humo kwa niaba…
Sensa ya Makazi Agosti 23 tuhesabiwa wote kwa maendeleo
Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum…
Ndaki ataka agizo la Rais juu ya maeneo ya wafugaji kutekelezwa
Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Morogoro Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (Mb) amezitaka halmashauri na mamlaka za serikali za mikoa kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan la kutenga maeneo kwa ajili ya wafugaji…