JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wabunge 27 ambao hawakuteuliwa kugombea kura za maoni

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, kimetangaza rasmi majina ya wagombea watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa nafasi za Ubunge wa Majimbo, Viti Maalum na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi. CPA…

Kanati Kuu ya CCM yaridhia Peter Mashili kuvaaba na Bashe Jimbo la Nzega Mjini

Na Mwandishi Wetu Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa imempitisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mashili Company Limited ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining), Peter Andrea Mashili…

CCM yatangaza wagombea wake, baadhi ya vigogo waenguliwa, wasanii, wanahabari wapeta

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, kimetangaza rasmi majina ya wagombea watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa nafasi za Ubunge wa Majimbo, Viti Maalum na Ujumbe…