Author: Jamhuri
Mbarawa asisitiza kiwanja cha ndege Msalato kukamilika mapema
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amemtaka mkandarasi anayejenga Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kuhakikisha anakamilika kwa wakati na kwa ubora. Ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma, alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho ambacho…
Watanzania watakiwa kuwa waaminifu
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia,Dar Balozi wa Tanzania Nchini Saudi Arabia Ali Mwadini amewataka watanzania kuwa waaminifu, katika ufanyaji biashara zinazoenda nje ya nchi.Mwandini amesema kama watanzania wanazingatia kuwa waaminifu katika biashara,ni wazi wataweza kumuhifadhi mteja wa bidhaa lakini ukimfanyia visivyo utampoteza….
Ruto ndiye rais mteule wa Kenya
Mwenyekiti wa Tume ya Uvaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya, Wafula Chebukati ametangaza mgombea wa kiti cha urais William Ruto kuwa mteule wa nafasi ya kiti cha uraiswa kupata kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49. Mgombea huyo ambaye amechuana vikali…