Author: Jamhuri
MO aendelea kuburuza Afrika mashariki na Kati
Mfanyabiashra Mohamed Dewji ‘Mo’ ameendelea kung’ang’ania kwenye orodha ya matajiri Barani Afrika iliyotolewa na Jarida maarufu la Forbes, ambapo ameshika nafasi ya 13 huku maarufu Aliko Dangote akishika nafasi ya kwanza. Katika orodha hiyo iliyotolewa na jarida la Forbes linalofuatilia…
Eneo la Kitaraka kutumika kimkakati kuzalisha mifugo Manyoni
Na Mbaraka Kambona,JamhuriMedia,Singida Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega (Mb) amesema kuwa Serikali imedhamiria kulitumia eneo la kupumzishia mifugo la Kitaraka lililopo wilayani Manyoni, Singida liweze kutumiwa na vijana watakao hitimu mafunzo katika vituo atamizi kwa ajili ya kufanya…
Serikali yatoa mikopo ya bil.165/- kwa wakulima
Na Farida Ramadhani,WFM, Dodoma Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mkopo wa shillingi billioni 164.9 kwa Sekta ya Benki na Taasisi za Fedha nchini uliowanufausha wakulima wadogo 5,385 na Vyama vya Ushirika na Masoko (AMCOS) 21. Hayo yameelezwa…
Rais azindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amezitaka Taasisi za Haki Jinai kuendesha na kusimamia haki jinai kwa kuzingatia misingi ya sheria, weledi, usawa, uadilifu pamoja na mila na desturi zetu. Rais Samia amesema hayo leo wakati akizundua…
Chongolo adai kukosa imani na kiwanda cha sukari Kilombero
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amepokea malalamiko ya wananchi ambao wanajihusisha na wakulima wa miwa Kilombero mkoani Morogoro ambao wamedai kukosa imani na Kiwanda cha sukari Kilombero kwa jinsi wanavyopima kiwango cha utamu…





