JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mamia wajitokeza kumzika mke wa Manyerere na Naibu Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri

Na Berensi China, JamhuriMedia, Butiama Mamia ya wananchi wa Kijiji cha Butiama mkoani Mara na maeneo ya jirani ya Mkoa wa Mwanza, Dar es Salaam na Arusha wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa mke wa Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya Jamhuri…

TCCIA yakaribishwa kujionea fursa Songwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Mkuu wa Wilaya ya Songwe Fadhil Nkurlu, ameikaribisha Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania(TCCIA) kutembelea wilaya ya Songwe na kujionea fursa mbali mbali za kiuwekezaji na kibiashara. Nkurlu alitoa ukaribisho huo jijini Dar es Salaam alipotembelea ofisi…

Mfumo wa ufundishaji wa mubashara mbioni kutumika nchini

Na James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri Mchengerwa ameeleza azma ya Serikari ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha Mfumo wa Ufundishaji Mubashara (live teaching) unaanza kutumika nchi nzima ili kumuwezesha mwalimu kutoka katika kituo kimoja kufundisha wanafunzi wengi kwa wakati mmoja…

Waziri Mkuu atembelea ubalozi wa Tanzania Muungano wa Falme za Kiarabu Abudha

PMO 7300 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) alipotembelea ubalozi huo uliopo Abudhabi, Julai 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwaua watoto watatu kwa kuwachinja shingo Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhutiMedia, Songea. Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili na mwingine wanaendelea kumsaka kwa tuhuma za mauaji likiwemo la mwanamke mmoja kuwauwa watoto watatu kwa kuwachinja shingo na kitu chenye ncha kali wilayani Namtumbo. Akizungumza na…

Rais Samia aongoza Maadhimisho ya siku ya mashujaa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza maelfu ya Watanzania katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika leo tarehe 25 Julai, 2025 katika Uwanja wa Mnara wa Mashujaa,…