JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

AWESO atembelea Gridi ya Taifa ya Maji ya China

Shan Dong, China Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasili nchini China na kutembelea Gridi ya Taifa ya Maji ya China.Akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng Mwajuma Waziri pamoja na watendaji wa sekta Waziri Aweso amefika…

Wahariri waipongeza REA usambazaji wa gesi asilia Lindi, Pwani

📌Bilioni 6 yawezesha kusambaza miundombinu ya gesi asilia kwenye kaya 1000 na shule moja 📌Nishati ya gesi asilia ni ya uhakika, salama na nafuu zaidi 📌Wananchi watakiwa kuilinda miundombinu ya kusambaza gesi asilia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Jukwaa la…

EACOP yazindua mpango wa ‘Msaidie Binti Abaki Shule’ kusaidia hedhi salama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umezindua awamu ya kwanza ya mpango wa hedhi salama mashuleni unaojulikana ‘Msaidie Binti Abaki Shule’ unaolenga kuwawezesha wasichana, hususan wanaoishi vijijini kuhudhuria masomo muda wote,…

RITA yatoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa jengo la kituo cha watoto wenye uhitaji Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhi vifaa vya ujenzi pamoja na mahitaji mengine muhimu kwa ajili ya kuboresha mazingira bora ya makazi na elimu katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Huruma…

Ndejembi atoa siku 14 mkandarasi kurejea mradi wa umeme Songea – Mahumbika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amempa siku 14 mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Mahumbika kupitia Tunduru na Masasi kurejea eneo la mradi na kuendelea na…

JET yatambua mchango wa mwanamke katika kulinda na kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kinawatakia heri wanawake wote nchini na duniani katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo Machi 8,2026. JET inatambua mchango mkubwa wa mwanamke katika…