Author: Jamhuri
ADC yaahidi fao la malezi ya mtoto mutoka kuzaliwa hadi miaka 18
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimeahidi kuanzisha mpango maalum wa ustawi wa jamii utakaompa kila mzazi fao la kumlea mtoto kuanzia anapozaliwa hadi kufikisha umri wa miaka 18, iwapo kitapewa ridhaa ya kuunda serikali baada…
Magoti asisitiza usimamizi wa miradi ya maendeleo Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Petro Magoti amesisitiza kufanya kazi kwa bidii na kujituma hususan katika usimamizi wa Miradi ya Maendeleo ili iweze kuleta tija na kuunga juhudi za Mhe. Rais wa Jamhuri ya…
Walimbwende wa Miss Grand Tanzania wafanya ziara ya mafunzo Hifadhi ya Pande
Na Beatus Maganja, JamhuriMedia,Dar es Salaam Walimbwende 24 wanaoshiriki mashindano ya Miss Grand Tanzania 2025 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara, wamefanya ziara ya siku moja katika Hifadhi ya Pande iliyopo jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti 2025 kwa…
Wanne wahukumiwa miaka 30 jela kwa wizi
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega Mkoani hapa imewahukumu watu 4 wakazi wa Mtaa wa Maporomoko kata ya Nzega Mashariki kutumikia kifungo cha miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya uhalifu wa kutumia…
Mpina: CCM imepoteza dira, haiwezi kukarabatiwa, ni kama chuma chakavu
Na Pendo Nguka, JakhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mbunge wa Kisesa na mwanasiasa mkongwe kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luaga Mpina ambaye kwa sasa ni mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa amekihama CCM kwa sababu kimeshindwa…
FORLAND yadhamiria kuimarisha mnyororo wa thamani katika misitu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mradi mpya wa Misitu na Matumizi ya Ardhi na Maendeleo ya Myororo wa Thamani (FORLAND) umejizatiti kuhakikisha miradi ya misitu inakuwa na tija kwa wananchi kuanzia hatua ya upandaji hadi mlaji wa mwisho. Mradi huu…