Author: Jamhuri
Waziri wa Afya Burundi azindua kambi ya madaktari bingwa Hospitali ya Benjamini Mkapa
Na Jeremiah Mbwambo, GITEGA-BURUNDI Waziri wa Afya Burundi Dr. Baradahana Lydwine amefungua kambi maalumu ya madaktari Bingwa wa Hospitali ya Benjamin Mkapa inayo fanyika Burundi katika Mkoa wa Gitega na baadae Burundi “Nimefarijika sana kuwaona madaktari Bingwa wa Hospitali ya…
Wanahabari Afrika watakiwa kuandika habari chanya kuhusu Bara la Afrika
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungìano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wanahabari wa Afrika kuandika habari chanya zinazolijenga Bara la Afrika badala ya kutegemea simulizi hasi kutoka vyombo vya nje. Akizungumza…
Dk Mpango atembelea banda la Gazeti la Jamhuri katika Mkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kuhusu habari za uchunguzi kutoka kwa Mhariri Mtendaji na Mkurugenzi wa Gazeti la Jamhuri Bw. Deodatus Balile wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Mkutano wa…
Waziri Jafo afanya mazungumzo na wanachama wa CTI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darces Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amepanga kukutana na wazalishaji wote wa saruji nchini hivi karubuni ili kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili. Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam baada ya kukutana…
Dk Mpango aipongeza TANAPA kwa kuvitangaza vituo vya utalii ndani na nje
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa jitihada kubwa za kulinda maliasili na kuvitangaza vivutio vyake vya utalii ndani na nje ya nchi na kuiheshimisha nchi…
Taifa kukamilisha mwelekeo wa Maendeleo, Dira ya 2025 kukamilika Julai 17, mwaka huu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania imefikia hatua muhimu ya kupanga mustakabali wake wa muda mrefu baada ya kukamilika kwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050, ambayo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe….





