JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Prof. Shemdoe : Tengeni siku maalum kusikiliza kero za wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuzisimamia Halmashauri zao kuhakikisha zinaweka siku maalum ya kusikiliza…

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mtandao wa Polisi wanawake Songwe watoa faraja kwa wagonjwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, inayoadhimishwa kote ulimwenguni kila ifikapo Machi 08, 2026, Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Songwe (TPF NET) kwa kushirikiana na wanawake wa majeshi mengine mkoani humo, wametembelea…

RC Chalamila : Wamachinga ondoeni dhana ya kufukuzwa Kariakoo bali tunafungua barabara

‎ Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka Wamachinga kuondokana dhana ya kuwa Serikali inawafukuza maeneo ya biashara ila sehemu ya kuhakikisha wanafungua Barabara zinapitika na usafiri wa umma hauathiriwi ili…

Msajili wa Hazina afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Lifezone Metal

Na Mwandishi wa OMH Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amefanya mazungumzo na Bw. Keith Liddell, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Lifezone Metals Limited, inayomiliki Tembo Nickel Corporation Limited kwa ubia na Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Msajili…