Author: Jamhuri
Mega Copper yaongeza thamani shaba
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro MKAKATI wa uongezaji thamani katika Sekta ya Madini umeanza kuzaa matunda mkoani Kilimanjaro, baada ya kampuni ya Mega Copper Co Ltd kujikita katika uongezaji wa kiwango cha ubora wa madini ya shaba kutoka asilimia moja hadi…
Bei ya mafuta yapanda kutokana na mzozo Mashariki ya Kati
BEI ya mafuta imepanda leo Jumatatu huku masoko ya hisa yakiropomoka kutokana na kishindo cha mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yaliyoanza siku ya Jumamosi. Pipa moja la mafuta ghafi limefikia karibu dola 80 kwenye soko…
Israel yafanya wimbi jingine la mashambulizi Tehran
Israel imesema imeanzisha wimbi jipya la mashambulizi katikati mwa Tehran, ikilenga kufikia kitovu cha mji mkuu na kutawala anga ya Iran, baada ya wimbi la kwanza lililomuua Kiongozi Mkuu wa taifa hilo. Milipuko mikubwa imeripotiwa Jumapili mjini Tehran huku mashambulizi…
Milioni 30 zatolewa kusaidia watoto wanaotibiwa JKCI
…………………………………………….. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wanawake wanaoshiriki mafunzo ya Female Future Program msimu wa 11, yanayotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) wamechangia shilingi milioni 30 kusaidia matibabu ya moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo…
Simba, Yanga nguvu moja
Watani wa jadi Simba SC na Yanga SC wamefanikiwa kutoka sare tasa ya bila kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo, Machi 1, 2026, katika Uwanja wa Amani, Visiwani Zanzibar. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa, huku…
Iran yaanzisha baraza jipya la uongozi
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametangaza kuwa baraza jipya la uongozi limeanza rasmi kazi kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, katika mashambulizi ya Marekani na Israel. Katika ujumbe uliorekodiwa na kurushwa kwenye televisheni ya taifa, Pezeshkian amesema baraza…





