Author: Jamhuri
Kwa hili sote tu wadau
Sisi Watanzania tukubali kuwa tumependelewa sana na Mwenyezi Mungu. Kwani hatukuwahi kutawaliwa kikoloni moja kwa moja na Mwingereza kama walivyokuwa majirani zetu. Wakenya wametawaliwa kama koloni la Mwingereza, Nyasaland (Malawi) kama koloni la Mwingereza, Zambia (Northern Rhodesia) kama koloni la…
Ya Lake Oil tuliyasema
Februari, 2013 tuliandika habari ambayo hatimaye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano, imeuthibitishia umma ilikuwa kweli. Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil imebainika kukwepa kodi ya Sh bilioni 8.5…
Yah: Matusi, kelele nazo tunalipia kodi?
Nimeamka nikiwa najiandaa kuanza kusikiliza michango ya wabunge inayotokana na hotuba ya Rais John Magufuli, ambayo kwa aliyeisikia anaweza kudhani kwamba michango ya waheshimiwa wengine inaweza kuchafua hotuba iliyokuwa na mashiko zaidi kwa kipindi chake cha kulifungua Bunge mwaka jana….
Mapinduzi Z’bar yaenziwe
Januari 12 mwaka huu kama ilivyo kila mwaka, Visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha Mapinduzi matukufu ya visiwa hivyo yaliyofikisha umri wa miaka 52. Mapinduzi hayo yanakumbukwa katika kuonesha nguvu ya umma inafanya kazi kuliko kitu chochote kile, pale umma unapochoshwa na…
Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili
NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k. Tunapozungumzia NGO…
Abdallah Gama: Mkali mwenye historia ndefu katika muziki
Nina uhakika wale mashabiki wa Bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ Ngoma ya Ukae’ wakati huo – vijana wa zamani, watakuwa wanakumbuka mbali kila pale linapotajwa jina la mwanamuziki Abdallah Gama. Gama ni mkung’utaji mahiri wa gitaa la kati…