Author: Jamhuri
Marekani yaiwekea vikwazo DRC
Marekani imeliwekea vikwazo kundi lenye silaha nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo linalofanya kazi na serikali ya Kinshasa, chama cha ushirika cha uchimbaji madini nchini humo, na makampuni mawili ya Hong Kong, ikiwatuhumu kuchangia ukosefu wa usalama nchini DRC na…
Trump amuonya Putin
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali kumaliza vita nchini Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin ikiwa hatokubali…
JK ahudhuria mkutano wa kwanza wa uwekezaji wa maji Afrika
Na Mwandishi Maalumu Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, yupo Cape Town, Afrika Kusini, akihudhuria Mkutano wa Kwanza wa Uwekezaji wa Maji Afrika. Tukio hili la kihistoria limeandaliwa chini ya…
Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Malagarasi, wapiga hatua mpya
*Mto wachepushwa ili kujenga tuta la kufulia Umeme *Kasi yapamba moto kukamilisha Mradi Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la kufua umeme kwa maji kupitia mto Malagarasi (MW49) umefikia hatua muhimu, kwa kuweza kuchepusha maji ya kwenye mto (kutengeneza njia ya…
Makamu wa Rais ashiriki mkutano SADC-EAC kuangazia hali ya Kongo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya…