Author: Jamhuri
Sekta ya habari ni nyenzo muhimu katika kulinda na kudumisha amani kipindi cha uchaguzi – Dk Biteko
π Avitaka vyombo vya habari kuheshimu tofauti za maoni π Aviasa vyombo vya habari kuwa kioo safi, visivyo na doa la uzushi wala upendeleo kuelekea Uchaguzi Mkuu π Sekta ya habari yaahidi kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa weledi π Serikali…
Kilo 37,197 za dawa za kulevya zakamatwa na DCEA, 64 mbaroni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KILO 37,197.142 za dawa za kulevya zimekamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), katika kipindi cha mwezi Mei hadi Julai mwaka huu. Hayo yamesemwa leo na Kamishna Jenerali…
Norland na mkakati wa kuenea nchi nzima
Na Mwandishi wetu, Jamhuti, Media, Dar es Salaam Katika hali inayoonesha bidhaa zake kukubalika na watanzania wengi kampuni ya Norland Tanzania ambayo makao makuu yake yapo nchini Chna,imejipanga kujitanua na kuhakikisha inaendelea kutoa elimu kuhusiana matumizi ya bidhaa zao za…
CBE na SWUFE ya China wasaini ushirkiano wa kitaaluma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesaini makubaliano na Chuo Kikuu cha Fedha na Uchumi cha Kusini Magharibi mwa China (SWUFE) kuimarisha ubadilishanaji wa ujuzi, utafiti wa pamoja, na fursa za mafunzo kwa…
Trump, Netanyahu wakutana tena kumaliza vita ya Gaza
Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wamekutana kwa mara ya pili katika muda wa saa 24 huku rais huyo akizidisha shinikizo kwa Netanyahu kumaliza vita huko Gaza. Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri…
Majaliwa aitaka TRA kuendelea kuongeza ufanisi ukusanyaji kodi
*Awapongeza kuvuka lengo 2024- 2025 *TRA yarejesha Shilingi Trilioni 1.2 kwa walipa kodi kiwango kikubwa kuwahi kutokea. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza usimamizi wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwemo wa mataifa ya nje…





