Author: Jamhuri
Dizeli yabainika ndani ya visima vya maji
Baadhi ya visima vya maji safi katika Kitongoji cha Buseresere wilayani Chato, mkoani Geita vimebainika kuwa na mchanganyiko wa maji na dizeli. Kutokana na hali hiyo, wananchi hao wanaelekeza lawama zao kwa mmiliki wa Kituo cha Mafuta cha Buseresere, Samwel…
Vigogo KCBL watelekeza mali za mabilioni
Wafanyakazi wawili miongoni mwa watano waliofukuzwa kazi na Bodi ya Uongozi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) wametoweka na kutelekeza mali za mabilioni ya fedha. Mali hizo ni pamoja na nyumba za kifahari, magari pamoja na viwanja. Ni mali ambazo…
Je, wajua Wazungu, Wahindi, Wachina wote ni weusi?
Sehemu hii ya pili ya maadhimisho ya miaka 60 tangu kugunduliwa kwa fuvu la binadamu wa kale la Zinjanthropus (Zinj) katika Bonde la Olduvai mkoani Arusha, wataalamu wawili wa mambokale – PROFESA CHARLES MUSIBA kutoka Chuo Kikuu cha Colorado, Marekani;…
Penye nia pana njia
Wiki iliyopita serikali ilitoa taarifa kuhusu uamuzi wake wa kuanza mchakato wa ununuzi wa vichwa 22 vya treni, mabehewa 1,430 ya mizigo na mabehewa 60 ya abiria, vitakavyotumika kwenye uendeshaji wa reli ya kisasa, maarufu kama SGR, ambayo ujenzi wake…
NINA NDOTO (25)
Fanya kazi kwa bidii Nyuma ya ndoto nyingi zilizofanikiwa kuna kufanya kazi kwa bidii. Kama haupo tayari kufanya kazi kwa juhudi sahau kabisa ndoto zako kutimia. Ukimuuliza kila mtu aliyefanya makubwa katika dunia hii, sentesi “fanya kazi kwa bidii”…
‘Wenye ualbino wako salama nchini’
Tanzania imetajwa kufanya vizuri katika kukomesha mauaji dhidi ya watu wenye ualbino. Mwaka 2006 Tanzania iliingia kwenye historia mbaya baada ya watu hao kuanza kuuawa kwa imani za kishirikina. Takwimu zilizotolewa Septemba 21, 2014 na Chama cha Watu wenye Ualbino…




