JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

P Diddy aendelea kusota rumande hadi Oktoba 3

MSANII mashuhuri wa muziki wa hip-hop, Sean Diddy Combs maarufu kama P Diddy, ameendelea kusalia rumande baada ya Jaji Arun Subramanian wa Mahakama ya Shirikisho kumkatalia dhamana, licha ya kupunguziwa baadhi ya mashtaka. Combs alikutwa na hatia ya kujihusisha na…

Israel, Hamas watofautiana usitishaji wa vita Gaza

Israel na kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza zimechukua msimamo tofauti leo kuhusiana na pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani la usitishaji mapigano kwa muda wa siku 60. Saa kadhaa baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza…

Trump kukutana na viongozi wa mataifa matano ya Afrika

Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana ‘fursa za kibiashara’ kwa mujibu wa Ikulu ya White House. Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa…

93 wachukua fomu ya ubunge, wawania majimbo tisa Mkoa wa Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jumla ya wanachama 93 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu za kugombea ubunge katika majimbo tisa ya Mkoa wa Pwani ambapo kati yao, wanawake ni 22 na wanaume ni 71. Katibu wa Siasa, Uenezi…

TIA yaendelea kusogeza huduma zake karibu na wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imeandaa mkutano mkubwa wa kitaaluma utakaofanyika hivi karibuni mkoani Mwanza wenye lengo la kuelezea tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalamu wa taasisi hiyo. Kadhalika, imesema imeendelea kufungua kampasi kwenye…

Mradi wa bilioni 2.4 watatua kero ya maji Moshi, wananchi 230, 784 kunufaika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Zaidi ya wakazi 230,784 wa kata tisa katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wa Karanga Darajani uliogharimu…