JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 26, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,26, 2018 nimekuekea hapa

WEMA: Jamaani Kule Nimeshindwa Sasa Narudi Nyumbani

“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.” Maneno hayo yameandikwa na muigizaji Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akitangaza uamuzi wake wa kuhama Chama…

Zaidi ya Million 20 Zapatikana Kusaidia Watoto Wenye Ulemavu

Zaidi ya milioni 20 zimetolewa na wananchi pamoja na Taasisi mbalimbali hapa  nchini ikiwa ni mchango wa kusaidia matibabu na kununua vifaa tiba kwa ajili ya  watoto wenye vichwa vikubwa na migongo wazi. Ikiwa Jana ni Jumanne ya kutoa (GIVING…

LHRC Yabaini Mapungufu Kibao Uchaguzi wa Madiwani

  MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Anna Henga, amesema kuwa kituo hicho kimefuatilia kwa ukaribu uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 ulifanyika Novemba 26 mwaka huu, katika halmashauri 36 kwenye mikoa 19 nchini. Katika…

TCU, mustakabali wa elimu Tanzania (2)

Na Mwandishi Wetu, Arusha Katika makala iliyotangulia nilifafanua gharama ya uamuzi wa TCU kwa upande mmoja kuzuia baadhi ya vyuo binafsi, kati yake vimo vile vinavyomilikiwa na taasisi za dini, kutodahili wanafunzi kwa mwaka huu wa masomo na kuzuia baadhi…