JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kwa upuuzi huu, si Lowassa wala Magufuli anayeweza kutukomboa

Katika toleo lililopita (Na. 202), niliandaa moja ya nukuu katika ukurasa wa 19 wa gazeti hili. Ilikuwa ni nukuu ya Rais wa 42 wa Marekani, Bill Clinton aliyoitoa katika Mkutano wa Taifa wa Chama cha Democrat Julai 26, 2004. Siku…

Rubondo: Moyo wa Ziwa Victoria

Julai Mosi, mwaka 2015 ilikuwa siku ya historia ya pekee kwangu. Nilipata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Rubondo. Safari hii ilikuwa ya aina yake. Juni 28, nilipanda ndege ya Auric Air kutoka Bukoba kwenda Mwanza, ghafla rubani akatangaza kuwa angepitia…

Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa

Binadamu tumeumbwa katika hali ya ajabu sana, ambayo kadiri mtu anavyokuwa katika nafasi fulani ya juu – iwe ni madaraka, elimu, siasa na  wakati mwingine hata umri – ni nadra kusikiliza  ushauri unaotolewa na mtu au kundi jingine ambalo  liko…

Polisi na hofu ya anguko CCM

Wiki iliyopita, kwa ufupi sana nilieleza kwamba mtaji mkubwa wa ushindi wa kishindo kwa vyama tawala katika baadhi ya mataifa yasiyotaka demokrasia ya kweli ni rushwa, ujinga na umaskini wa wananchi. Nilieleza pia mtaji mwingine wa watawala hao waliojihakikishia kwamba…

Ndoto ya barabara ya Kusini yakamilika

Tangu zamani umekuwapo usemi kuwa: “Hayawi, hayawi, yamekuwa!” Ni usemi maarufu unaonesha msisimko wa watu pale tukio au mgeni waliyemsubiri kwa muda mrefu hatimaye anawasili. Mara tu anapowasili, wangojeaji wale kwa pamoja wanafurahi, wanashukuru na ndipo usemi huo wa “hayawi…

CCM wa kweli wakiri hili

Wale wa rika langu, ama wamezaliwa, au wamelelewa na sasa wanaelekea kuzeeka ndani ya malezi yenye misingi iliyojengwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Watanzania wengi waliozaliwa kabla ya mwaka 1992 wanaijua CCM, na kwa kweli hawana namna ya kukwepa kuizungumza,…