JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Miaka 39 imetimu, tuendelee kuomboleza mauaji Soweto

Leo ni Juni 16, 2015. Tarehe kama hii mwaka 1976 katika mji wa Soweto nchini Afrika Kusini, watoto wa shule wapatao 600 waliuawa na utawala wa Wazungu (makaburu) kwa kumiminiwa risasi za moto wakiwa katika maandamano ya amani kupinga mtaala mpya…

Siasa zinaishia getini

Moja ya majukumu yangu nikiwa Butiama ni usimamizi wa kutangaza Kijiji cha Butiama kama kivutio cha utalii ndani ya programu ya Utalii wa Utamaduni inayoratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania. Butiama inajumuisha vivutio vya utalii vya aina mbalimbali, ikiwa ni…

Ada ya kutafuta hati ya nyumba, kiwanja

Watu wengi wanaonunua ardhi wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa katika kubadili majina yaani kutoka mmiliki wa mwanzo kwenda kwa mmiliki mpya aliyenunua. Upo usumbufu ambao husababishwa kwa makusudi na maafisa wanaohusika, lakini pia upo usumbufu ambao husababishwa na watu wenyewe wanaotaka…

Je, wote tuwe wajasiriamali?

Kwenye anga za uchumi na biashara kumekuwa na changamoto inayojirudia kutoka kwa baadhi ya wasomaji kuhusu dhana ya ujasiriamali.  Licha ya wasomaji kuzikubali makala hizi, lakini wamekuwa na walakini ikiwa inawezekana Watanzania wote tukawa wajasiriamali. Nafahamu kuwa si watu wote…

Messi wa Simba kortini, Messi wa Barca dimbani

Ninapotazama soka hapa nchini, nawaona wachezaji wetu ni kama yatima kutokana na mfumo wa ukuzaji wa vipaji wa nchi, kadhalika ni wa kujitakia. Kuna kitu kikubwa wachezaji wetu wanachokosa, wamekuwa ni watu wanaojipa majukumu mazito kwa kutokujua au ubinafsi tu. Mchezaji…

Safari ya matumaini

Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu (mstaafu) Edward Lowassa, ameanza rasmi ‘Safari ya Matumaini’ baada ya kutangaza nia ya kugombea urais mwishoni mwa wiki na kuainisha nguzo za mafanikio. Katika mkutano wa kutangaza nia uliofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri…