JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yajenga bandari nyingine Zanzibar kulinda mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI inajenga bandari nyingine nje ya Manispaa ya Mtwara Mikindani itakayotumika kusafirisha bidhaa chafuzi kwa mazingira na afya kama vile saruji na makaa ya mawe, ili magari yote yanayobeba makaa ya mawe kupita nje ya…

Senyamule: Kila Mtanzania awe mjumbe wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki katika maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Kupinga Dawa za Kulevya Duniani, akisisitiza kuwa tatizo hilo ni tishio la moja…

Waziri Mkuu ammwagia sifa Mkurugenzi Mkuu STAMICO, avutiwa na mafanikio makubwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa Majaliwa amevutiwa na utendaji na mafanikio iliyopata Shirika la Maendeleo la Taifa (STAMICO) kwa kipindi kifupi. Pongezi hizo alizotoa leo tarehe 24 Juni,2025 jijini Dodoma katika hotuba yake wakati wa uzinduzi…

Zimamoto 444 washiriki kuzima moto wa nyika nchini Ugiriki

Mamia ya maafisa wa zimamoto wanaendelea kupambana kwa siku ya tatu mfululizo na moto mkubwa wa nyika uliosambaa katika maeneo mbalimbali ya kisiwa cha Chios, nchini Ugiriki, baada ya kutangazwa hali ya dharura. Juhudi za kuudhibiti moto huo zimehusisha jumla…

Bei ya mafuta yashuka baada ya Israel, Iran kusitisha mapigano

Bei ya mafuta imeshuka kwa karibu 5% Jumanne baada ya Israel kukubali kusitisha mapigano kati yake na Iran yaliyoendelea kwa karibu wiki mbili. Bei ya kimataifa ya mafuta ghafi ya Brent ilishuka hadi $68 kwa pipa ilakini ikaimarika baada ya…

Ahukumiwa kwenda jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 2

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida              MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Unyianga, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Omari Hamisi (23) adhabu ya kutumikia kifungo cha maisha jela…