Author: Jamhuri
Serikali iwekeze katika soka
Wafuatiliaji wengi wa soka la hapa nyumbani, watakubaliana nami kuwa makocha wengi wa hapa nyumbani walioanza kufundisha soka kwenye miaka ya 1980 hadi sasa, wengi wao walipata mafunzo ya mchezo huo nje ya nchi. Hawa ni akina Sunday Kayuni, Charles…
Kimenuka Bandari
Bandari ya Dar es Salaam inapoteza wastani wa Sh bilioni 200 kwa mwaka kutokana na mtandao wa wizi ‘unaouza kazi’ na vyanzo vya mapato kwa wafanyabiashara binafsi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI unaonyesha nyaraka mbalimbali zilizopelekwa kwa wakubwa zimeorodhesha majina, mtandao…
Uongozi mbovu unachochea rushwa
Wiki iliyopita tulichapisha sehemu ya pili ya Ripoti ya Rushwa ya Jaji Warioba. Pamoja na mambo mengine, iligusia ukaribu wa viongozi kwa wafanyabiashara nchini ulivyochochea ukuaji wa rushwa nchini. Leo tunakuletea sehemu ya tatu. Endelea… (iii) Ukosefu wa uwazi…
Uhamiaji wawakamata Ramada, wawaachia
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imefanya upekuzi katika Hoteli ya Ramada iliyopo Mbezi Beach jijini na kuwakamata wafanyakazi watatu wa kigeni Julai 5. Ukamataji huo umetokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lililoelezea…
Vigogo wagawana mali Bima
Baada ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuuza nyumba zake za Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwa Baraza la Kiswahili (BAKITA) kwa mkataba wenye utata NIC wameingia katika kashfa nyingine ya kutelekeza majengo yake kwa nia ya kuuziana kwa…
Tunayeyusha kiwango cha uvumilivu
Hivi karibuni naona mwelekeo usio na afya kwa taifa letu. Nimewaona polisi wakipiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, nimeona vyama vikitoa matamko ya nia ya kukabiliana, nimesikia baadhi ya vijana ndani ya vyama wakihamasishana kwenda Dodoma kuzuia…