JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation na NEXLAW waungana kuinua wajasiriamali vijana Tanzania

Na Mwandishi Wetu Taasi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) na Kampuni ya wanasheria NEXLAW Advocates ya Dar es Salaam wamesaini rasmi makubaliano ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuimarisha na kukuza ujasiriamali wa vijana nchini Tanzania kupitia Mpango wa…

Diwani Kisarawe azindua msimu wa nne wa mbio za Jerusalem

Na Lookman Miraji Diwani wa Kata ya Kisarawe 2, iliyoko katika Wilaya ya Kigamboni, Issa Hemed ameuzindua rasmi msimu wa nne wa mbio za hisani zijulikanazo kama Mbio za Jerusalem. Mbio hizo ambazo hufanyika kila mwaka chini ya uratibu wa…

Trump ‘anafikiri’ Zelensky yuko tayari kuikabidhi Crimea kwa Urusi

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anafikiri kuwa mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko tayari kuliacha eneo la Crimea kwa Urusi kama sehemu ya makubaliano ya amani – licha ya hapo awali Kyiv kukataa pendekezo lolote kama hilo. Alipoulizwa iwapo…

Trump awatolea wito Putin na Zelensky kufikia makubaliano

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwa sasa rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine anaonekana kuwa mtulivu na mwenye nia ya kutaka kufikia makubaliano ya amani. Aidha Trump ameusifu mkutano wao siku ya Jumamosi mjini Vatican, huku akimtaka pia rais wa…

Israel yashambulia mji mkuu wa Lebanon, Beirut

Israel ilifanya mashambulizi ya angani katika vitongoji vya kusini mwa Beirut siku ya Jumapili, baada ya kuamuru kuhamishwa kwa wakazi waliokuwa wakiishi katika jengo ambalo ilisema lilikuwa linatumiwa na kundi linaloungwa mkono na Iran la Hezbollah. Shambulio hilo lilitokea licha…

TANESCO yaanza rasmi zoezi la kulipa fidia wananchi waliopisha ujenzi miradi ya umeme

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara 📌Ni mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wa kilovoti 220 Tunduru -Masasi . 📌Jumla ya shilingi Bilioni 4.7 kutumika kulipa fidia kwa wananchi 📌Wananchi waahidi kuyahama maeneo ndani ya siku 30 walizopewa….