Author: Jamhuri
Uthamini wa fidia mradi wa SGR kipande cha sita Tabora – Kigoma waendelea kwa kasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha 6 kutoka Tabora hadi Kigoma linaendelea kwa kasi katika wilaya sita za mikoa hiyo. Wilaya hizo ni Tabora Mjini,…
Mbeya waimarisha ulinzi na usalama
Kuelekea uchaguzi Mkuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vizuri kuhakikisha Amani, Utulivu na Usalama vinatawala muda wote. Akizungumza mara baada ya kufanya doria za Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya, Kamanda…
Minara 741 kati ya 758 ya mawasiliano vijijini inatoa huduma
Hadi kufikia tarehe 23 Oktoba, 2025 Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), ilikuwa imekamilisha ujenzi wa minara 741 kati ya minara 758 iliyopangwa kujengwa katika kata 713 nchini. Mradi ambao unalenga kunufaisha vijiji 1,407…
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Ndugu zangu Watanzania, taifa letu linaelekea katika moja ya hatua muhimu za kidemokrasia – Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika kesho Oktoba 29, 2025. Hii ni siku ambayo wananchi tutatumia kalamu na karatasi…
Mgeja awapa angalizo Watanzania, Dk Samia anatosha
“Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama Kada wa chama cha Mapinduzi na Mwanasiasa mkongwe nchini Khamisi Mgeja amewatahadhalisha watanzania wasifanye makosa kufanya majaribio ya kuchagua wagombea uraisi ambao hawana uzoefu wa kiuongozi na hawajawahi kufanya kazi yeyote hata za serikali za…





