Author: Jamhuri
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 9
Polisi waliiharibu TAKUKURU YALIYOJITOKEZA 154. Tume imetafakari kwa undani muundo wa taasisi na shughuli za kurugenzi zote. Katika kufanya hivyo, umuhimu wa Kurugenzi ya Mafunzo, Utafiti na Elimu kwa Umma umetiliwa maanani hasa kwa kuzingatia jukumu lake zito…
Polisi wakiwa matapeli, wananchi wafanyeje?
Habari iliyochukua uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu vitendo vya utapeli kwenye biashara ya madini. Jambo la kusikitisha ni kusikia kuwa kwenye genge la matapeli hao wamo watumishi wa Serikali, hasa kutoka Jeshi la Polisi. Hizi…
Serikali kufufua NASACO Bandari
Serikali inakusudia kufufua Shirika la Taifa la Uwakala wa Meli (NASACO), katika jitihada za kuboresha huduma katika Bandari ya Dar es Salaam kuhudumia wateja wake kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na wahariri, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA),…
Asante Lukuvi, umeokoa wanyonge Bukoba
Mpendwa msomaji, niwie radhi wiki hii nalazimika kuandika SITANII ndefu kidogo, na SITANII ya leo itakuwa na vionjo tofauti na zilizotangulia. Nitangaze maslahi pia, kuwa katika hili ninayo maslahi nitakayoyaeleza punde, lakini nitangulie kusema nampongeza na kumshukuru Waziri wa Ardhi,…
Bunge hali tete
Tunashukuru Ofisi ya Bunge imeendelea kuwathibitishia Watanzania kuwa ina matatizo ya kiutendaji. Safari hii Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika, Said Yakub, ambaye kimsingi si Msemaji wa Ofisi ya Bunge, amekiri kuwa kuna watoto wa vigogo, ingawa anadai taratibu zimefuatwa kuwaajiri….
Ndugu Rais, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu!
Ndugu Rais, tafuteni kwanza ufalme wa mbingu, ya dunia mtayapata kwa ziada! Tangu kutangazwa kwa Septemba mosi, nchi imekuwa ni ya mijadala isiyokwisha huku wapofu wakionesha nguvu zao. Mnagombania kuwatawala waja wa Mwenyezi Mungu kwa kudhani mnaweza kwa nguvu zenu!…