JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wazanzibar tupe nguzo ya amani

Miaka mitatu iliyopita, kuanzia Juni 11, 2013 niliandika makala iliyohusu “Haki, Ukweli ni Nguzo ya Amani.” Katika makala yale nilielezea na kufafanua hadharani maana ya HAKI na UKWELI yanavyojenga nguzo ya AMANI katika jamii yoyote duniani. Leo tena nimeona ipo…

Kupata leseni ya kutafuta madini

1. LESENI HUTOLEWA KWA NAMNA MBILI Unapohitaji leseni ya kutafuta madini unapaswa kujua kuwa leseni hizi hutafutwa kwa namna mbili tofauti. Kwanza kwa maombi maalum na pili kupitia zabuni. Sheria mpya ya madini Sheria namba 14 ya 2010 ndiyo kiini…

Chondechonde wapinzani ogopa laana kwa kumsakama Magufuli

Watawala makini, kwa maana ya wafalme, marais na mawaziri wakuu, huwa na namna ya kuendesha nchi na falme ambazo wao ni vinara. Kila mfalme, rais na hata waziri mkuu hutafuta njia iliyo bora anayoona inafaa kuendesha nchi yake kwa manufaa…

Mfahamu Gianni Infantino, Rais mpya wa soka duniani

Raia wa Uswisi au Switzerland, mwenye asili ya Italia, Gianni Infantino, mwishoni mwa wiki iliyopita ndiye aliyechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Amechukua nafasi ya Sepp Blatter, aliyedumu madarakani kwa miaka 17 akiongoza shirikisho hilo….

Magufuli atumbua mapapa wa ‘unga’

Kasi ya Rais John Magufuli ya kutumbua majipu sasa imeanza kuvunja mtandao wa dawa za kulevya (unga) nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Rais Magufuli ametoa maelekezo mahsusi kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga akielekeza kuwa anataka kuiona…

Wakenya wanavyoziua Serengeti, Loliondo

Baadhi ya wageni hao wamediriki kuendesha shughuli za ufugaji katika Hifadhi ya Taifa Serengeti (SENAPA), na kilimo katika vijiji vya Tarafa ya Loliondo. Matrekta mengi yanayotumiwa katika kilimo eneo la Loliondo yanatolewa Kenya. JAMHURI limepata majina zaidi ya 280 ya…