JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Iran italipiza kisasi ikiwa itashambuliwa na Marekani

Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema Marekani itapata pigo kubwa ikiwa itatekeleza tishio la kuishambulia kwa mabomu Iran ikiwa haitafikia makubaliano mapya ya nyuklia na Marekani. Kiongozi huyo mkuu wa Iran amesema ikiwa Marekani inafikiria kuleta uchochezi ndani…

Shirika la Msalaba Mwekundu lakasirishwa na mauaji ya madaktari Gaza

Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) limesema “limekasirishwa” kwamba madaktari wanane wa Kipalestina waliuawa pamoja na wahudumu sita wa Ulinzi wa Raia na mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa na vikosi vya Israeli kusini mwa…

Wasira : CCM haibishani na CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani…

Rais Samia awasisitiza viongozi wa dini kutoruhusu majukwaa ya kiimani kutumika kuhubiri siasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuendelea kudumisha amani ya nchi na kubaki kwenye jukumu la kuwalea wananchi kiroho. Taarifa iliyotolewanna Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Shirika Nyanga imesema…

Majaliwa ashiriki swala ya Eid Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki Swala ya Eid ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telac akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid iliyofanyika kiwilaya  kwenye Mtaa wa Maghalani,…