Author: Jamhuri
Serikali yaendelea kuwashika mkono wanafunzi wenye mahitaji maalum
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutekeleza ahadi za Rais Samia kwa vitendo, hususan katika kuhakikisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wanajisikia kuwa sehemu ya jamii na hawatengeki na…
Diamond aipongeza JAB, aahidi vyombo vyake kufuata matakwa ya sheria
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Wasafi Media, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ameipongeza Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari, huku akiahidi kuwa tayari kufuata matakwa…
Haya hapa matokeo kidato cha nne
FUNGUA CHINI👇👇 https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm
CRDB yajipanga kuwezesha wabunifu kibiashara
Na Mwandishi Wetu BENKI ya CRDB imesema ipo tayari kuunga mkono tasnia ya ubunifu nchini kwa kuweka mifumo ya kifedha itakayowawezesha wabunifu kubadili vipaji vyao na kuwa biashara endelevu zenye mchango wa moja kwa moja katika uchumi wa Taifa. Akizungumza…
Waziri Mkuu, Mwigulu ashiriki kwenye bonanza la Azania Bank Bunge Bonanza 2026
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma. Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali…
Mikakati yawekwa kuijenga upya Tanzania kimiundombinu
SERIKALI imetangaza mpango kabambe wa kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa njia ya barabara wenye lengo la kurahisisha usafiri, kuongeza ufanisi na kukuza Pato la Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam , Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega,…





