Author: Jamhuri
Zaidi ya watu 200 wafariki katika mgodi ulioporomoka DR Congo
Zaidi ya watu 200 wamefariki dunia katika mgodi ulioporomoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, mamlaka ya waasi imesema. Mgodi huo, katika mji wa Rubaya, uliporomoka juzi kutokana na mvua kubwa, Lumumba Kambere Muyisa, msemaji wa gavana wa waasi…
Utitiri wa ving’ora barabarani, namba za magari Serikali yatoa tamko
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali iko mbioni kuweka kampeni ya kudhibiti utitiri wa ving’ora vinavyowekwa katika magari ya watu binafsi ambayo hayatambuliwi na Kanuni za Usalama Barabarani huku pia akigusia…
Jela miaka 30 kwa kubaka na kulipa faini ya milioni tano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Mahakama ya Wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya milioni 5 atakapomaliza kifungo Evarist Justin Chamtepa (44) mkazi wa kijiji Cha Nkomolo kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa…
Elimu ya majanga ya dharura ianze ngazi ya jamii
Na WAF, Kagera Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Kagera Bw. Bwai Biseko ameitaka timu ya wataalam wa kuzuia na kukabiliana na majanga ya dharura katika mkoa wa Kagera ijikite zaidi kutoa elimu ya majanga ya dharura na athari zake…
Serikali yabuni teknolojia mpya ya kuvuna senene kisasa
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), kwa kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) pamoja na VETA, imeendelea kufanya tafiti mbalimbali zinazolenga kuendeleza na kuboresha biashara ya senene katika mkoa wa Kagera. Hayo yalibainishwa Bungeni Jijini…





