Author: Jamhuri
Rais Samia umeandika historia, jipe moyo
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan wiki iliyopita ameweka historia nyingine na kuanza safari ya historia ya kudumu kuelekea kupatikana kwa Rais wa Tanzania mwanamke aliyechaguliwa. Agosti 9,…
Takriban watu 55 wauawa na vikosi vya Israel huko Gaza
TAKRIBAN watu 55 wakiwemo watoto wameuawa usiku wa kuamkia Jumanne na vikosi vya Israel katika Ukanda wa Gaza. Miongoni mwa waliouawa walikuwemo watu 15 waliokuwa wakisubiri msaada wa kibinaadamu katika kivuko cha Zikim kaskazini mwa Gaza. Wizara ya Afya ya…
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waiunga mkono Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamefanya mkutano kwa njia ya video na kutangaza kuiunga mkono Ukraine kabla ya mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Alaska. Kauli mbiu…
Wizara ya Ardhi yaendesha klinik maalkum kuongeza kasi ya umilikishaji
Na Mwandishi Wetu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha Klinik Maalum ya Ardhi kwa ajili ya kuongeza kasi ya umilikishaji ardhi katika maeneo ambayo mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki (LTIP) umetekelezwa. Hatua hiyo ya Wizara ya…
Serikali yazitaka NGOs kutoa huduma kwa uwazi kwa wananchi
Na Mwandishi Wetu Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yametakiwa kuwa wazi na kuwajibika katika utekelezaji wa majukumu yao, hasa katika kutoa huduma kwa wananchi kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Wito huo ulitolewa juzi na Naibu Waziri…