JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati ya PAC yatembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa Hai

Na Happy Lazaro,.JamhuriMedia, Hai Hai.KAMATI ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) imetembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa uliopo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kueleza kuridhishwa na miradi hiyo ambayo ikikamilika italeta…

TIB imezalisha ajira 12,547 kupitia uwekezaji wa miradi ya maendeleo

Na DottoKwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BENKI ya Maendeleo(TIB)imesema imezalisha zaidi ya ajira mpya 12,547 kutokana na Benki kufadhili miradi ya muda wa kati na mrefu nchini inayotokana na uwekezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maeneo ya kipaumbele ya Serikali pamoja na malengo ya…

Wananchi wakumbushwa matumizi sahihi ya alama za taifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wito umetolewa kwa Wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Alama za Taifa ikiwemo Ngao ama Nembo ya Taifa, Bendera ya Taifa na Wimbo wa Taifa na kuendelea kujifunza matumizi sahihi ya alama hizo pamoja…

CRDB waeleza mafanikio ya huduma za Al Barakh Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea ZAIDI ya wateja 380,000 wakiwemo watumishi wa Serikali, wafanyabiashara, wanafunzi na wajasiriamali wamejiunga na huduma ya CRDB Al Barakh ambayo inatoa fursa kwa  watu kupata huduma kuendana  na imani zao hapa nchini. Akizungumza kwenye hafla…

Mbunge wa Viti Maalum Jackline aiomba Serikali kupitia TANROADS kuharakisha ujenzi barabara Mtwara corridor

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Jackline Ngonyani Msongozi ameiomba serikali kupitia wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuona umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa Barabara ya Mtwara corridor (Songea by pass) ambayo itasaidia kuondoa msongamano wa…

Mradi wa TAZA mbioni kukamilika – Kapinga

📌 Unahusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi Sumbawanga 📌 Kapinga asema Mkoa wa Rukwa kuunganishwa na gridi ya Taifa kupitia mradi wa TAZA 📌 Serikali yatoa Bilioni 21.4 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 📌 Wananchi…