Author: Jamhuri
Salma Kikwete : Sikupata kura za itifaki, nilipambana bila kutishika
ALIKUWA Mwalimu na Mke wa Rais, lakini safari yake haikukamilika kwa kuwa mke wa Rais. Leo ni Mbunge wa Jimbo la Mchinga,mkoani Lindi akiongoza kwa mfano na dhamira ya dhati. Mama huyo, pia ni mwanasiasa ambaye ni mke wa Rais…
Mawakala wa vyama kielelezo cha uwazi uboreshaji daftari la wapiga kura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uwepo wa mawakala wa vyama vya siasa wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ni kielelezo cha uwazi na ni muhimu kwa kuwa mawakala hao watasaidia kutambua waombaji wa eneo…
Urusi imeshambulia Ukraine usiku kucha
Takriban watu wanane wameuawa katika mfululizo wa mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi kote nchini Ukraine. Haya ndio tunayojua kufikia sasa:
Ufaransa kuipatia Ukraine silaha za nyuklia?
RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema atajadiliana na viongozi wenzake wa Umoja wa Ulaya juu ya kuruhusu kutumiwa silaha zake za Nyuklia kuisadia Ukraine. Katika hotuba yake jana kwa taifa kiongozi Macron pia alizungumzia uwezekano wa kupelekwa wanajeshi wa mataifa…
Dk Samua kuisuka upya Muhimbili kwa trilioni 1.2/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu USD .468…
Macron: Enzi ya ‘unyonge wa Ulaya’ imekwisha
RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amelihutubia taifa lake kuhusu hali ya sintofahamu iliyopo duniani kutokana na mabadiliko makubwa ya sera ya Marekani juu ya Ukraine katika utawala wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump. Kwenye hotuba hiyo kwa taifa iliyorushwa…