Author: Jamhuri
Kituo cha Ubia PPPC, REDET kujadili nafasi ya ubia kwenye dira ya 2050
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KITUO cha Ubia kati Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPPC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Masuala Demokrasia (REDET) chini ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wameandaa kongamano kwa ajili…
TMA, CRDB yawajengea uwezo maafisa ugani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Wataalamu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kwa kushirikiana na Benki ya CRDB kupitia mradi wa Tanzania Agriculture Climate Adaptation Technology Deployment Project (TACATDP) wamewajengea uwezo Maafisa Ugani wa namna bora ya kutafsiri na…
Mitaa 58 Halmashauri Mji wa Tarime imefikiwa na umeme – Kapinga
📌 Ni kati ya mitaa 81 ya Halmashauri ya Mji wa Tarime 📌 Asema kazi ya kupeleka umeme vitongojini ni endelevu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imefikisha umeme kwenye mitaa 58 ya…
Watanzania watakiwa kudumisha muungano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka baadhi ya wananchi wanaopotosha kuhusu Muungano kuacha vitendo na badala yake waulinde na kuuenzi kwani umeleta manufaa makubwa. Ametoa wito…
Waziri Chana aunadi utalii nchini Japan, awaita wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, Japan Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amenadi vivutio vya utalii vya nchini Tanzania huku akikaribisha wawekezaji kutoka nchini Japan kuwekeza Tanzania. Waziri Chana amesema hayo leo Mei 26, 2025 katika Kongamano la…





