Author: Jamhuri
Balozi Nchimbi : CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala…
Esther Bulaya : Lissu ana uzoefu mkubwa wa uongozi
Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amekipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuendesha uchaguzi wa ndani kwa uwazi na kufuata misingi ya demokrasia. Pongezi hizo amezitoa leo Februari 13, 2025 bungeni jijini Dodoma, wakati wa mjadala wa taarifa…
Wanafunzi wanaofadhiliwa na USAID Malawi watakiwa kuondoka
VYUO vikuu vya umma nchini Malawi vimeamuru wanafunzi wote wanaofadhiliwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) waondoke au watafute njia mbadala za kulipia ada kama wangependa kuendelea na masomo. Hatua hiyo baada ya kusitishwa kwa misaada ya…
Shaka: SGR imechochea biashara na ukuaji wa maendeleo Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema uimara wa Rais Samia Suluhu Hassan katika uongozi wake ni wenye matokeo chanya unaojali kesho ya nchi yetu (vizazi vya leo na kesho) kwa kukamilisha mradi…
Dira 2050 yataja changamoto saba mazingira ya biashara
Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imetaja changamoto saba za mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji nchini. Imetaja changamoto hizo ni pamoja na gharama kubwa katika mchakato wa uwekezaji zikiwamo kodi na tozo na muda wa kuanza biashara….