JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kila awaye ajipime, urais anautoa Mungu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Zanzibar Tanzania imepitia mtikisiko. Matukio ya Oktoba 29, 2025 na siku chache zilizofuatia, yameweka doa katika siasa za Tanzania. Haikupata kufikirika kuwa Tanzania hii watu wangechoma moto magari, nyumba za watu na serikali, vituo vya mafuta…

Meya Kibaha kuchimba visima vinne kupunguza kero ya maji Pangani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama hali inayowalazimu kutumia maji ya mtoni, madimbwi na kununua maji kwa wananchi…

Huduma za malezi ya kambo zimeongezeka

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezitaka familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo na kuasili kuwasilisha maombi yao kwa kamishna wa ustawi wa jamii kupitia…

Balozi Dk Migiro afanya mazungumzo na Balozi wa China Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu, Desemba 22, 2025, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba,…

Dk Natu: Tanzania, UNICEF kuendeleza ushirikiano

Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) anayehusika na Programu, Bi. Patricia Safi Lombo,…